-
Mwanzo 3:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Kisha Yehova Mungu akamwambia nyoka:+ “Kwa sababu umefanya jambo hili, wewe umelaaniwa kati ya wanyama wote wa kufugwa na kati ya wanyama wote wa mwituni. Utakwenda kwa tumbo lako, nawe utakula mavumbi sikuzote za maisha yako.
-