Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 4:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Ufunuo 5:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Alipokichukua kile kitabu cha kukunjwa, wale viumbe hai wanne na wale wazee 24+ wakaanguka chini mbele ya Mwanakondoo, na kila mmoja alikuwa na kinubi na mabakuli ya dhahabu yaliyojaa uvumba. (Uvumba huo unamaanisha sala za watakatifu.)+

  • Ufunuo 11:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Na wale wazee 24+ waliokuwa wameketi kwenye viti vyao vya ufalme mbele za Mungu wakaanguka kifudifudi na kumwabudu Mungu,

  • Ufunuo 19:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Na wale wazee 24+ na wale viumbe hai wanne+ wakaanguka chini na kumwabudu Mungu anayeketi kwenye kiti cha ufalme na kusema: “Amina! Msifuni Yah!”*+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki