Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 39:27
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 27 Au, je, ni kwa agizo lako kwamba tai hupaa juu+

      Na kujenga kiota chake juu sana,+

  • Ayubu 39:29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Akiwa hapo yeye hutafuta chakula;+

      Macho yake hutazama mbali sana.

  • Ezekieli 1:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Nyuso zao zilionekana hivi: Kila mmoja wa viumbe hao wanne alikuwa na uso wa mwanadamu na uso wa simba+ upande wa kulia, na uso wa ng’ombe dume+ upande wa kushoto, na kila mmoja wa viumbe hao wanne alikuwa na uso+ wa tai.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki