-
Waroma 13:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Nanyi fanyeni hivi kwa sababu mnayajua majira, kwamba tayari ni saa yenu ya kuamka kutoka usingizini,+ kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu zaidi kuliko wakati tulipoanza kuamini.
-
-
1 Petro 1:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 ninyi mnaolindwa kwa nguvu za Mungu kupitia imani kwa ajili ya wokovu ulio tayari kufunuliwa katika kipindi cha mwisho cha wakati.
-