Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 86:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  9 Mataifa yote uliyoyaumba

      Yatakuja na kuinama mbele zako, Ee Yehova,+

      Nayo yatalitukuza jina lako.+

  • Malaki 1:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 “Kwa maana tangu jua linapochomoza mpaka linapotua,* jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa.+ Kila mahali dhabihu zitafukizwa moshi, na matoleo yatatolewa kwa jina langu, yakiwa zawadi safi; kwa sababu jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa,”+ asema Yehova wa majeshi.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki