-
1 Timotheo 6:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 ambao yule Mtawala Mkuu wa pekee na mwenye furaha atauonyesha katika nyakati zake zilizowekwa. Yeye ndiye Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana,+
-
-
Ufunuo 19:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Na kwenye vazi lake la nje, ndiyo, kwenye paja lake, ana jina lililoandikwa, Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.+
-