Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 12
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Yoshua—Yaliyomo

      • Wafalme wa mashariki mwa Yordani washindwa (1-6)

      • Wafalme wa magharibi mwa Yordani washindwa (7-24)

Yoshua 12:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “Korongo.”

Marejeo

  • +Kum 2:24
  • +Kum 3:8
  • +Kum 4:47-49

Yoshua 12:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “Korongo.”

Marejeo

  • +Hes 21:23, 24
  • +Kum 3:12
  • +Hes 21:13

Yoshua 12:3

Maelezo ya Chini

  • *

    Yaani, Ziwa Genesareti, au Bahari ya Galilaya.

Marejeo

  • +Yoh 6:1
  • +Kum 3:27

Yoshua 12:4

Marejeo

  • +Hes 21:33-35
  • +Kum 3:11

Yoshua 12:5

Marejeo

  • +Kum 29:7
  • +Yos 13:13
  • +Hes 21:26

Yoshua 12:6

Marejeo

  • +Hes 21:23, 24, 33-35
  • +Hes 32:33; Kum 3:12, 13

Yoshua 12:7

Marejeo

  • +Yos 13:1, 5
  • +Yos 1:4
  • +Yos 11:16, 17
  • +Kum 2:12
  • +Yos 11:23

Yoshua 12:8

Marejeo

  • +Yos 10:40; 11:16
  • +Mwa 15:16
  • +Kut 3:8; 23:23; Kum 7:1

Yoshua 12:9

Marejeo

  • +Yos 6:2
  • +Yos 8:29

Yoshua 12:10

Marejeo

  • +Yos 10:23, 26

Yoshua 12:12

Marejeo

  • +Yos 10:33

Yoshua 12:13

Marejeo

  • +Yos 10:38

Yoshua 12:15

Marejeo

  • +Yos 10:29

Yoshua 12:16

Marejeo

  • +Yos 10:28
  • +Amu 1:22

Yoshua 12:19

Marejeo

  • +Yos 11:1, 10

Yoshua 12:22

Marejeo

  • +Yos 21:34

Yoshua 12:23

Marejeo

  • +Yos 11:1, 2

Jumla

Yos. 12:1Kum 2:24
Yos. 12:1Kum 3:8
Yos. 12:1Kum 4:47-49
Yos. 12:2Hes 21:23, 24
Yos. 12:2Kum 3:12
Yos. 12:2Hes 21:13
Yos. 12:3Yoh 6:1
Yos. 12:3Kum 3:27
Yos. 12:4Hes 21:33-35
Yos. 12:4Kum 3:11
Yos. 12:5Kum 29:7
Yos. 12:5Yos 13:13
Yos. 12:5Hes 21:26
Yos. 12:6Hes 21:23, 24, 33-35
Yos. 12:6Hes 32:33; Kum 3:12, 13
Yos. 12:7Yos 13:1, 5
Yos. 12:7Yos 1:4
Yos. 12:7Yos 11:16, 17
Yos. 12:7Kum 2:12
Yos. 12:7Yos 11:23
Yos. 12:8Yos 10:40; 11:16
Yos. 12:8Mwa 15:16
Yos. 12:8Kut 3:8; 23:23; Kum 7:1
Yos. 12:9Yos 6:2
Yos. 12:9Yos 8:29
Yos. 12:10Yos 10:23, 26
Yos. 12:12Yos 10:33
Yos. 12:13Yos 10:38
Yos. 12:15Yos 10:29
Yos. 12:16Yos 10:28
Yos. 12:16Amu 1:22
Yos. 12:19Yos 11:1, 10
Yos. 12:22Yos 21:34
Yos. 12:23Yos 11:1, 2
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Yoshua 12:1-24

Yoshua

12 Basi hawa ndio wafalme ambao Waisraeli waliwashinda na kumiliki nchi yao upande wa mashariki wa Yordani, kuanzia Bonde* la Arnoni+ hadi Mlima Hermoni+ na eneo lote la Araba kuelekea upande wa mashariki:+ 2 Mfalme Sihoni+ wa Waamori, aliyeishi Heshboni na kutawala kutoka Aroeri,+ kwenye ukingo wa Bonde* la Arnoni,+ na kutoka katikati ya bonde hilo, na nusu ya Gileadi hadi Bonde la Yaboki, kwenye mpaka wa Waamoni. 3 Alitawala pia Araba hadi Bahari ya Kinerethi*+ kuelekea mashariki hadi Bahari ya Araba, yaani, Bahari ya Chumvi, upande wa mashariki kuelekea Beth-yeshimothi, na kuelekea kusini chini ya miteremko ya Pisga.+

4 Pia, eneo la Mfalme Ogu+ wa Bashani, aliyekuwa kati ya Warefaimu+ waliosalia, ambaye aliishi Ashtarothi na Edrei 5 na kutawala katika eneo la Mlima Hermoni, Saleka, na Bashani yote,+ hadi mpaka wa Wageshuri na Wamaakathi,+ na nusu ya Gileadi, hadi katika eneo la Mfalme Sihoni wa Heshboni.+

6 Musa mtumishi wa Yehova pamoja na Waisraeli waliwashinda,+ kisha Musa mtumishi wa Yehova akawapa nchi hiyo watu wa kabila la Rubeni, Gadi, na nusu ya kabila la Manase ili waimiliki.+

7 Hawa ndio wafalme ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi wa Yordani, kuanzia Baal-gadi+ katika Bonde la Lebanoni+ hadi Mlima Halaki,+ unaopanda hadi Seiri,+ halafu Yoshua akayapa makabila ya Israeli nchi yao ili waimiliki na kugawana kulingana na makabila yao,+ 8 katika eneo lenye milima, Shefela, Araba, kwenye miteremko, nyikani, na katika Negebu+—nchi ya Wahiti, Waamori,+ Wakanaani, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi:+

 9 Mfalme wa Yeriko,+ mfalme wa Ai,+ jiji lililokuwa kando ya Betheli,

10 mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni,+

11 mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi,

12 mfalme wa Egloni, mfalme wa Gezeri,+

13 mfalme wa Debiri,+ mfalme wa Gederi,

14 mfalme wa Horma, mfalme wa Aradi,

15 mfalme wa Libna,+ mfalme wa Adulamu,

16 mfalme wa Makeda,+ mfalme wa Betheli,+

17 mfalme wa Tapua, mfalme wa Heferi,

18 mfalme wa Afeki, mfalme wa Lasharoni,

19 mfalme wa Madoni, mfalme wa Hasori,+

20 mfalme wa Shimron-meroni, mfalme wa Akshafi,

21 mfalme wa Taanaki, mfalme wa Megido,

22 mfalme wa Kedeshi, mfalme wa Yokneamu+ kule Karmeli,

23 mfalme wa Dori kwenye miteremko ya Dori,+ mfalme wa Goiimu kule Gilgali,

24 na mfalme wa Tirsa; jumla ya wafalme hao ni 31.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki