Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 18
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Yoshua—Yaliyomo

      • Maeneo yaliyobaki yagawanywa huko Shilo (1-10)

      • Urithi wa kabila la Benjamini (11-28)

Yoshua 18:1

Marejeo

  • +Hes 14:8; Kum 7:22; 33:29
  • +Yos 19:51; 22:9; Amu 21:19
  • +1Sa 1:3; 4:3; Zb 78:60; Yer 7:12; Mdo 7:44, 45

Yoshua 18:3

Marejeo

  • +Hes 33:53, 55

Yoshua 18:5

Marejeo

  • +Hes 34:13; Yos 19:51
  • +Yos 15:1
  • +Yos 16:1, 4

Yoshua 18:6

Marejeo

  • +Hes 26:55; 33:54; Yos 14:2; Met 16:33; Mdo 13:19

Yoshua 18:7

Marejeo

  • +Hes 18:20; Yos 13:33
  • +Kum 10:9; 18:1
  • +Kum 3:12, 13

Yoshua 18:8

Marejeo

  • +Yos 19:51; Amu 21:19

Yoshua 18:10

Marejeo

  • +Met 16:33
  • +Hes 33:54; Mdo 13:19

Yoshua 18:11

Marejeo

  • +Yos 15:1
  • +Yos 16:1

Yoshua 18:12

Marejeo

  • +Yos 2:1; 16:1
  • +Yos 7:2

Yoshua 18:13

Marejeo

  • +Mwa 28:18, 19
  • +Yos 16:5
  • +Yos 10:11; 21:20, 22

Yoshua 18:14

Marejeo

  • +Yos 15:9

Yoshua 18:15

Marejeo

  • +Yos 15:9, 12

Yoshua 18:16

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “Nchi Tambarare ya Chini.”

Marejeo

  • +Yos 15:8, 12; Yer 7:31; 19:2; Mt 5:22
  • +Kum 2:11
  • +Yos 15:63
  • +Yos 15:7, 12; 1Fa 1:9

Yoshua 18:17

Marejeo

  • +Yos 15:7, 12
  • +Kum 19:14
  • +Yos 15:6, 12

Yoshua 18:19

Marejeo

  • +Yos 15:6, 12
  • +Hes 34:12

Yoshua 18:22

Marejeo

  • +Yos 15:6, 12
  • +Mwa 12:8; 1Fa 12:28, 29

Yoshua 18:24

Marejeo

  • +Yos 21:8, 17

Yoshua 18:25

Marejeo

  • +Yos 9:16, 17; 1Fa 3:4

Yoshua 18:28

Marejeo

  • +2Sa 21:14
  • +Yos 15:8, 12; 1Nya 11:4; 2Nya 3:1
  • +1Sa 10:26

Jumla

Yos. 18:1Hes 14:8; Kum 7:22; 33:29
Yos. 18:1Yos 19:51; 22:9; Amu 21:19
Yos. 18:11Sa 1:3; 4:3; Zb 78:60; Yer 7:12; Mdo 7:44, 45
Yos. 18:3Hes 33:53, 55
Yos. 18:5Hes 34:13; Yos 19:51
Yos. 18:5Yos 15:1
Yos. 18:5Yos 16:1, 4
Yos. 18:6Hes 26:55; 33:54; Yos 14:2; Met 16:33; Mdo 13:19
Yos. 18:7Hes 18:20; Yos 13:33
Yos. 18:7Kum 10:9; 18:1
Yos. 18:7Kum 3:12, 13
Yos. 18:8Yos 19:51; Amu 21:19
Yos. 18:10Met 16:33
Yos. 18:10Hes 33:54; Mdo 13:19
Yos. 18:11Yos 15:1
Yos. 18:11Yos 16:1
Yos. 18:12Yos 2:1; 16:1
Yos. 18:12Yos 7:2
Yos. 18:13Mwa 28:18, 19
Yos. 18:13Yos 16:5
Yos. 18:13Yos 10:11; 21:20, 22
Yos. 18:14Yos 15:9
Yos. 18:15Yos 15:9, 12
Yos. 18:16Yos 15:8, 12; Yer 7:31; 19:2; Mt 5:22
Yos. 18:16Kum 2:11
Yos. 18:16Yos 15:63
Yos. 18:16Yos 15:7, 12; 1Fa 1:9
Yos. 18:17Yos 15:7, 12
Yos. 18:17Kum 19:14
Yos. 18:17Yos 15:6, 12
Yos. 18:19Yos 15:6, 12
Yos. 18:19Hes 34:12
Yos. 18:22Yos 15:6, 12
Yos. 18:22Mwa 12:8; 1Fa 12:28, 29
Yos. 18:24Yos 21:8, 17
Yos. 18:25Yos 9:16, 17; 1Fa 3:4
Yos. 18:282Sa 21:14
Yos. 18:28Yos 15:8, 12; 1Nya 11:4; 2Nya 3:1
Yos. 18:281Sa 10:26
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Yoshua 18:1-28

Yoshua

18 Baada ya kuitiisha nchi,+ Waisraeli wote wakakusanyika Shilo+ na kupiga hema la mkutano+ huko. 2 Lakini makabila saba ya Waisraeli bado hayakuwa yamegawiwa urithi wao. 3 Ndipo Yoshua akawaambia Waisraeli: “Mtakawia mpaka lini kumiliki nchi ambayo Yehova Mungu wa mababu zenu amewapa?+ 4 Chagueni wanaume watatu kutoka kila kabila ili niwatume; watazunguka katika nchi yote na kuchora ramani kulingana na urithi wao. Kisha wataniletea habari. 5 Wataigawanya nchi hiyo katika maeneo saba.+ Kabila la Yuda litabaki katika eneo lake upande wa kusini,+ na nyumba ya Yosefu itabaki katika eneo lake upande wa kaskazini.+ 6 Igawanyeni nchi katika maeneo saba na kuniletea ramani yake, nami nitawapa urithi kwa kupiga kura+ mbele za Yehova Mungu wetu. 7 Lakini Walawi hawana urithi kati yenu,+ kwa sababu ukuhani wa Yehova ndio urithi wao;+ na tayari Gadi, Rubeni, na nusu ya kabila la Manase+ wamechukua urithi wao upande wa mashariki wa Yordani, ambao Musa mtumishi wa Yehova aliwapa.”

8 Wanaume hao wakajitayarisha kwenda kuchora ramani ya nchi, naye Yoshua akawaambia hivi: “Nendeni mkazunguke katika nchi yote, mchore ramani yake na kuniletea habari, nami nitawapa urithi kwa kupiga kura mbele za Yehova hapa Shilo.”+ 9 Basi wanaume hao wakaenda, wakazunguka nchini na kuchora ramani yenye maeneo saba kulingana na majiji, wakaandika habari hizo katika kitabu. Kisha wakarudi kwa Yoshua kambini huko Shilo. 10 Ndipo Yoshua akapiga kura kwa ajili ya maeneo hayo mbele za Yehova.+ Kisha Yoshua akawagawia Waisraeli nchi kulingana na makabila yao.+

11 Kabila la Benjamini liligawiwa urithi wao kwa kura kulingana na koo zao, walipewa urithi kati ya kabila la Yuda+ na wazao wa Yosefu.+ 12 Mpaka wao wa kaskazini ulianzia Yordani, na kwenda kaskazini kwenye mteremko wa Yeriko+ na kupanda mlimani upande wa magharibi, hadi katika nyika ya Beth-aveni.+ 13 Kisha ukaendelea mpaka Luzi kwenye mteremko wa kusini wa Luzi, yaani, Betheli;+ nao ukashuka hadi Ataroth-adari+ kwenye mlima ulio upande wa kusini wa Beth-horoni ya Chini.+ 14 Na mpaka huo uligeuka upande wa magharibi kuelekea kusini kutoka kwenye mlima unaotazamana na Beth-horoni upande wa kusini; nao ukafika Kiriath-baali, yaani, Kiriath-yearimu,+ jiji la Yuda. Huo ndio mpaka wa magharibi.

15 Mpaka wa kusini ulianzia mwisho wa jiji la Kiriath-yearimu, na kuelekea upande wa magharibi; kisha ukafika kwenye chemchemi ya Neftoa.+ 16 Nao ulishuka hadi mwisho wa mlima unaotazamana na Bonde la Mwana wa Hinomu,+ upande wa kaskazini katika Bonde* la Refaimu,+ nao ukashuka upande wa kusini katika Bonde la Hinomu, kwenye mteremko wa Myebusi,+ na kufika En-rogeli.+ 17 Kisha ulielekea kaskazini hadi En-shemeshi na kufika Gelilothi, mbele ya njia inayopanda kuelekea Adumimu,+ na kushuka kwenye jiwe+ la Bohani+ mwana wa Rubeni. 18 Ukaendelea hadi kwenye mteremko wa kaskazini mbele ya Araba na kushuka hadi Araba. 19 Kisha ukaendelea hadi kwenye mteremko wa kaskazini wa Beth-hogla,+ na kufika katika ghuba ya kaskazini ya Bahari ya Chumvi+ upande wa kusini wa Yordani. Huo ndio uliokuwa mpaka wa kusini. 20 Na Mto Yordani ulikuwa mpaka wa mashariki. Huo ndio uliokuwa urithi wa wazao wa Benjamini kulingana na koo zao, na hiyo ndiyo mipaka yao yote.

21 Na majiji ya kabila la Benjamini kulingana na koo zao yalikuwa: Yeriko, Beth-hogla, Emek-kesisi, 22 Beth-araba,+ Semaraimu, Betheli,+⁠ 23 Avimu, Para, Ofra, 24 Kefar-amoni, Ofni, na Geba+—majiji 12 na vijiji vyake.

25 Gibeoni,+ Rama, Beerothi, 26 Mispe, Kefira, Mosa, 27 Rekemu, Irpeeli, Tarala, 28 Zela,+ Ha-elefu, Yebusi, yaani, Yerusalemu,+ Gibea,+ na Kiriathi—majiji 14 na vijiji vyake.

Huo ndio uliokuwa urithi wa wazao wa Benjamini kulingana na koo zao.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki