Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 19
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Yoshua—Yaliyomo

      • Urithi wa kabila la Simeoni (1-9)

      • Urithi wa kabila la Zabuloni (10-16)

      • Urithi wa kabila la Isakari (17-23)

      • Urithi wa kabila la Asheri (24-31)

      • Urithi wa kabila la Naftali (32-39)

      • Urithi wa kabila la Dani (40-48)

      • Urithi wa Yoshua (49-51)

Yoshua 19:1

Marejeo

  • +Yos 18:6
  • +Mwa 46:10
  • +Mwa 49:5, 7

Yoshua 19:2

Marejeo

  • +Mwa 21:31; 26:32, 33; Yos 15:21, 28
  • +Yos 15:21, 26; 1Nya 4:28-31

Yoshua 19:3

Marejeo

  • +Yos 15:21, 28
  • +Yos 15:20, 29

Yoshua 19:4

Marejeo

  • +Yos 15:21, 30

Yoshua 19:5

Marejeo

  • +Yos 15:21, 31; 1Sa 27:6

Yoshua 19:6

Marejeo

  • +Yos 15:21, 32

Yoshua 19:7

Marejeo

  • +Yos 15:20, 42; 1Nya 4:24, 32; 6:59, 64

Yoshua 19:9

Marejeo

  • +Amu 1:3

Yoshua 19:10

Marejeo

  • +Yos 18:6
  • +Mwa 49:13

Yoshua 19:11

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “korongoni.”

Yoshua 19:12

Marejeo

  • +Yos 21:27, 28

Yoshua 19:13

Marejeo

  • +2Fa 14:25

Yoshua 19:15

Marejeo

  • +Yos 12:7, 20
  • +Amu 12:8

Yoshua 19:16

Marejeo

  • +Hes 26:27

Yoshua 19:17

Marejeo

  • +Hes 33:54
  • +Mwa 49:14

Yoshua 19:18

Marejeo

  • +Yos 17:16; Amu 6:33; 1Fa 21:1
  • +1Sa 28:4; 1Fa 1:3; 2Fa 4:8

Yoshua 19:21

Marejeo

  • +Yos 21:8, 29

Yoshua 19:22

Marejeo

  • +Amu 4:6

Yoshua 19:23

Marejeo

  • +Hes 26:25

Yoshua 19:24

Marejeo

  • +Hes 26:55; Yos 18:6
  • +Mwa 49:20

Yoshua 19:25

Marejeo

  • +Yos 21:8, 31

Yoshua 19:26

Marejeo

  • +1Fa 18:19

Yoshua 19:28

Marejeo

  • +Mwa 10:15; Amu 1:31

Yoshua 19:29

Marejeo

  • +2Sa 5:11; 1Fa 5:1

Yoshua 19:30

Marejeo

  • +Amu 1:31
  • +Yos 21:8, 31

Yoshua 19:31

Marejeo

  • +Hes 26:47

Yoshua 19:32

Marejeo

  • +Hes 26:55; Yos 18:6

Yoshua 19:33

Marejeo

  • +Amu 4:11

Yoshua 19:35

Marejeo

  • +Yos 21:32

Yoshua 19:36

Marejeo

  • +Yos 11:10; Amu 4:2; 1Sa 12:9

Yoshua 19:37

Marejeo

  • +Yos 20:7

Yoshua 19:38

Marejeo

  • +Amu 1:33

Yoshua 19:39

Marejeo

  • +Hes 26:50

Yoshua 19:40

Marejeo

  • +Yos 18:6
  • +Mwa 49:17

Yoshua 19:41

Marejeo

  • +Yos 15:20, 33; Amu 13:2

Yoshua 19:42

Marejeo

  • +Amu 1:35
  • +Yos 10:12; 21:8, 24

Yoshua 19:43

Marejeo

  • +Amu 14:1
  • +Yos 15:20, 45

Yoshua 19:44

Marejeo

  • +Yos 21:8, 23

Yoshua 19:45

Marejeo

  • +Yos 21:8, 24

Yoshua 19:46

Marejeo

  • +Yon 1:3; Mdo 9:36

Yoshua 19:47

Marejeo

  • +Hes 26:54; 33:54
  • +Amu 18:7
  • +Amu 18:29

Yoshua 19:50

Marejeo

  • +Yos 24:29, 30

Yoshua 19:51

Maelezo ya Chini

  • *

    Yaani, ukoo wa upande wa baba.

Marejeo

  • +Hes 34:17; Yos 14:1
  • +Amu 21:19; Yer 7:12
  • +Yos 18:1, 8

Jumla

Yos. 19:1Yos 18:6
Yos. 19:1Mwa 46:10
Yos. 19:1Mwa 49:5, 7
Yos. 19:2Mwa 21:31; 26:32, 33; Yos 15:21, 28
Yos. 19:2Yos 15:21, 26; 1Nya 4:28-31
Yos. 19:3Yos 15:21, 28
Yos. 19:3Yos 15:20, 29
Yos. 19:4Yos 15:21, 30
Yos. 19:5Yos 15:21, 31; 1Sa 27:6
Yos. 19:6Yos 15:21, 32
Yos. 19:7Yos 15:20, 42; 1Nya 4:24, 32; 6:59, 64
Yos. 19:9Amu 1:3
Yos. 19:10Yos 18:6
Yos. 19:10Mwa 49:13
Yos. 19:12Yos 21:27, 28
Yos. 19:132Fa 14:25
Yos. 19:15Yos 12:7, 20
Yos. 19:15Amu 12:8
Yos. 19:16Hes 26:27
Yos. 19:17Hes 33:54
Yos. 19:17Mwa 49:14
Yos. 19:18Yos 17:16; Amu 6:33; 1Fa 21:1
Yos. 19:181Sa 28:4; 1Fa 1:3; 2Fa 4:8
Yos. 19:21Yos 21:8, 29
Yos. 19:22Amu 4:6
Yos. 19:23Hes 26:25
Yos. 19:24Hes 26:55; Yos 18:6
Yos. 19:24Mwa 49:20
Yos. 19:25Yos 21:8, 31
Yos. 19:261Fa 18:19
Yos. 19:28Mwa 10:15; Amu 1:31
Yos. 19:292Sa 5:11; 1Fa 5:1
Yos. 19:30Amu 1:31
Yos. 19:30Yos 21:8, 31
Yos. 19:31Hes 26:47
Yos. 19:32Hes 26:55; Yos 18:6
Yos. 19:33Amu 4:11
Yos. 19:35Yos 21:32
Yos. 19:36Yos 11:10; Amu 4:2; 1Sa 12:9
Yos. 19:37Yos 20:7
Yos. 19:38Amu 1:33
Yos. 19:39Hes 26:50
Yos. 19:40Yos 18:6
Yos. 19:40Mwa 49:17
Yos. 19:41Yos 15:20, 33; Amu 13:2
Yos. 19:42Amu 1:35
Yos. 19:42Yos 10:12; 21:8, 24
Yos. 19:43Amu 14:1
Yos. 19:43Yos 15:20, 45
Yos. 19:44Yos 21:8, 23
Yos. 19:45Yos 21:8, 24
Yos. 19:46Yon 1:3; Mdo 9:36
Yos. 19:47Hes 26:54; 33:54
Yos. 19:47Amu 18:7
Yos. 19:47Amu 18:29
Yos. 19:50Yos 24:29, 30
Yos. 19:51Hes 34:17; Yos 14:1
Yos. 19:51Amu 21:19; Yer 7:12
Yos. 19:51Yos 18:1, 8
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44
  • 45
  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
  • 50
  • 51
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Yoshua 19:1-51

Yoshua

19 Kura ya pili+ ilikuwa ya Simeoni, kwa ajili ya kabila la Simeoni+ kulingana na koo zao. Nao walipewa urithi kati ya urithi wa kabila la Yuda.+ 2 Urithi wao ulikuwa Beer-sheba,+ Sheba, Molada,+ 3 Hasar-shuali,+ Bala, Esemu,+ 4 Eltoladi,+ Bethuli, Horma, 5 Siklagi,+ Beth-markabothi, Hasar-susa, 6 Beth-lebaothi,+ na Sharuheni—majiji 13 na vijiji vyake; 7 Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani+—majiji manne na vijiji vyake; 8 na vijiji vyote vilivyozunguka majiji hayo mpaka Baalath-beeri, Rama ya kusini. Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Simeoni kulingana na koo zao. 9 Kabila la Yuda lilikuwa na eneo kubwa sana, basi wazao wa Simeoni waligawiwa sehemu ya eneo hilo. Hivyo wazao wa Simeoni walipata urithi katikati ya kabila la Yuda.+

10 Kura ya tatu+ ilikuwa ya wazao wa Zabuloni+ kulingana na koo zao, na mpaka wa urithi wao ulifika Saridi. 11 Mpaka wao ulipanda upande wa magharibi kuelekea Mareali kufika Dabeshethi na kuingia bondeni* mbele ya Yokneamu. 12 Na kutoka Saridi, ulielekea upande wa mashariki, na kufika kwenye mpaka wa Kisloth-tabori na kuendelea hadi Daberathi+ na kupanda hadi Yafia. 13 Kisha ukaelekea mashariki hadi Gath-heferi+ na kufika Eth-kazini, hadi Rimoni, na kufika Nea. 14 Na mpaka huo uligeuka kuelekea Hanathoni upande wa kaskazini, na kufika kwenye Bonde la Iftah-eli, 15 na Katathi, Nahalali, Shimroni,+ Idala, na Bethlehemu+—majiji 12 na vijiji vyake. 16 Huo ndio uliokuwa urithi wa wazao wa Zabuloni kulingana na koo zao.+ Hayo ndiyo yaliyokuwa majiji na vijiji vyake.

17 Kura ya nne+ ilikuwa ya Isakari,+ kwa ajili ya wazao wa Isakari kulingana na koo zao. 18 Na mpaka wao ulifika Yezreeli,+ Kesulothi, Shunemu,+ 19 Hafaraimu, Shioni, Anaharathi, 20 Rabithi, Kishioni, Ebesi, 21 Remethi, En-ganimu,+ En-hada, na Beth-pasesi. 22 Na mpaka huo ulifika Tabori+ na Shahasuma na Beth-shemeshi, na kufika kwenye Mto Yordani—majiji 16 na vijiji vyake. 23 Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Isakari kulingana na koo zao,+ majiji na vijiji vyake.

24 Kura ya tano+ ilikuwa ya kabila la Asheri+ kulingana na koo zao. 25 Mpaka wao ulipita Helkathi,+ Hali, Beteni, Akshafi, 26 Alameleki, Amadi, na Mishali. Nao ulifika upande wa magharibi hadi Karmeli+ na kuelekea Shihor-libnathi, 27 nao uligeuka na kuelekea Beth-dagoni upande wa mashariki na kufika Zabuloni na Bonde la Iftah-eli upande wa kaskazini, hadi Beth-emeki na Neieli, kisha ukaelekea Kabuli upande wa kushoto, 28 na Ebroni, Rehobu, Hamoni, na Kana hadi Sidoni Kuu.+ 29 Na mpaka huo ukageuka kurudi Rama na kufika kwenye jiji la Tiro lenye ngome.+ Kisha ukageuka kurudi Hosa, na kufika kwenye bahari katika eneo la Akzibu, 30 Uma, Afeki,+ na Rehobu+—majiji 22 na vijiji vyake. 31 Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Asheri kulingana na koo zao.+ Hayo ndiyo yaliyokuwa majiji na vijiji vyake.

32 Kura ya sita+ ilikuwa ya wazao wa Naftali, kwa ajili ya wazao wa Naftali kulingana na koo zao. 33 Mpaka wao ulianzia Helefu, kutoka kwenye mti mkubwa kule Saananimu,+ kuelekea Adami-nekebu na Yabneeli hadi Lakumu; na kufika kwenye Mto Yordani. 34 Na kutoka huko ukageuka na kuelekea magharibi hadi Aznoth-tabori na kwenda Hukkoki mpaka Zabuloni upande wa kusini na kupakana na Asheri upande wa magharibi na kuendelea hadi Yuda, na kufika kwenye Mto Yordani upande wa mashariki. 35 Na majiji yenye ngome yalikuwa Sidimu, Seri, Hamathi,+ Rakathi, Kinerethi, 36 Adama, Rama, Hasori,+ 37 Kedeshi,+ Edrei, En-hasori, 38 Yironi, Migdal-eli, Horemu, Beth-anathi, na Beth-shemeshi+—majiji 19 na vijiji vyake. 39 Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Naftali kulingana na koo zao,+ majiji na vijiji vyake.

40 Kura ya saba+ ilikuwa ya kabila la Dani+ kulingana na koo zao. 41 Na mpaka wa urithi wao ulipita Sora,+ Eshtaoli, Ir-shemeshi, 42 Shaalabini,+ Aiyaloni,+ Ithla, 43 Eloni, Timna,+ Ekroni,+ 44 Elteke, Gibethoni,+ Baalathi, 45 Yehudi, Bene-beraki, Gath-rimoni,+ 46 Me-yarkoni, na Rakoni, mpaka ukiwa mbele ya Yopa.+ 47 Lakini eneo la kabila la Dani halikuwatosha kwa sababu lilikuwa dogo.+ Basi wakaenda kushambulia jiji la Leshemu,+ wakaliteka na kuwaangamiza wakaaji wake kwa upanga. Wakalimiliki na kukaa ndani yake, kisha wakabadili jina Leshemu kuwa Dani, jina la babu yao.+ 48 Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Dani kulingana na koo zao. Hayo ndiyo yaliyokuwa majiji na vijiji vyake.

49 Basi wakamaliza kugawanya nchi ya urithi kulingana na maeneo yake. Kisha Waisraeli wakampa Yoshua mwana wa Nuni urithi kati yao. 50 Kwa agizo la Yehova walimpa jiji ambalo aliomba, yaani, Timnath-sera,+ katika eneo lenye milima la Efraimu, akalijenga upya na kukaa ndani yake.

51 Huo ndio urithi ambao kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa koo* za makabila ya Waisraeli waligawanya+ kwa kura kule Shilo+ mbele za Yehova, kwenye mlango wa hema la mkutano.+ Basi wakamaliza kuigawanya nchi.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki