Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 45
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Yeremia—Yaliyomo

      • Ujumbe wa Yehova kwa Baruku (1-5)

Yeremia 45:1

Marejeo

  • +Yer 32:12; 43:3
  • +Yer 36:4, 32
  • +Yer 25:1; 36:1

Yeremia 45:4

Marejeo

  • +Isa 5:5; Yer 1:1, 10

Yeremia 45:5

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “unatarajia.”

  • *

    Au “watu wote.”

  • *

    Au “nafsi yako.”

  • *

    Au “nitaacha uponyoke na uhai wako.”

Marejeo

  • +Isa 66:16; Yer 25:17, 26; Sef 3:8
  • +Yer 21:9; 39:18; 43:6

Jumla

Yer. 45:1Yer 32:12; 43:3
Yer. 45:1Yer 36:4, 32
Yer. 45:1Yer 25:1; 36:1
Yer. 45:4Isa 5:5; Yer 1:1, 10
Yer. 45:5Isa 66:16; Yer 25:17, 26; Sef 3:8
Yer. 45:5Yer 21:9; 39:18; 43:6
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Yeremia 45:1-5

Yeremia

45 Hili ndilo neno ambalo nabii Yeremia alimwambia Baruku+ mwana wa Neria alipoandika katika kitabu maneno haya aliyoambiwa na Yeremia+ katika mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda:

2 “Yehova Mungu wa Israeli anasema hivi kukuhusu wewe, Baruku, 3 ‘Umesema: “Ole wangu, kwa maana Yehova ameongeza huzuni kwenye maumivu yangu! Nimechoka kwa sababu ya kulia kwa maumivu, nami sijapata mahali pa kupumzika.”’

4 “Mwambie, ‘Yehova anasema hivi: “Tazama! Kile ambacho nimekijenga ninakibomoa, na kile nilichokipanda ninaking’oa—nchi yote.+ 5 Lakini unajitafutia* mambo makuu. Acha kuyatafuta mambo hayo.”’

“‘Kwa maana, niko karibu kuleta msiba dhidi ya wote wenye mwili,’*+ asema Yehova, ‘na popote utakapoenda, nitakupa uhai wako* kuwa nyara.’”*+

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki