Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 1 Wafalme—Yaliyomo 1 WAFALME YALIYOMO 1 Daudi na Abishagi (1-4) Adoniya atafuta kiti cha ufalme (5-10) Nathani na Bath-sheba wachukua hatua (11-27) Daudi aagiza Sulemani atiwe mafuta (28-40) Adoniya akimbilia kwenye madhabahu (41-53) 2 Daudi ampa maagizo Sulemani (1-9) Daudi afa; Sulemani aketi kwenye kiti cha ufalme (10-12) Njama ya Adoniya yasababisha auawe (13-25) Abiathari afukuzwa; Yoabu auawa (26-35) Shimei auawa (36-46) 3 Sulemani amwoa binti ya Farao (1-3) Yehova amtokea Sulemani katika ndoto (4-15) Sulemani aomba hekima (7-9) Sulemani aamua kesi ya mama wawili (16-28) 4 Wasimamizi katika utawala wa Sulemani (1-19) Ufanisi katika utawala wa Sulemani (20-28) Wakaa kwa usalama chini ya mzabibu na mtini (25) Hekima na methali za Sulemani (29-34) 5 Mfalme Hiramu ampa Sulemani vifaa vya ujenzi (1-12) Wafanyakazi wa Sulemani walioandikishwa (13-18) 6 Sulemani ajenga hekalu (1-38) Chumba cha ndani zaidi (19-22) Makerubi (23-28) Michongo, milango, ua wa ndani (29-36) Hekalu lakamilishwa kwa muda wa miaka saba hivi (37, 38) 7 Majengo yaliyozunguka jumba la Mfalme Sulemani (1-12) Hiramu mwenye ustadi amsaidia Sulemani (13-47) Nguzo mbili za shaba (15-22) Bahari ya madini yaliyoyeyushwa (23-26) Magari kumi na mabeseni ya shaba (27-39) Vyombo vya dhahabu vyakamilishwa (48-51) 8 Sanduku la agano laletwa hekaluni (1-13) Sulemani awahutubia watu (14-21) Sala ya Sulemani ya kuweka wakfu hekalu (22-53) Sulemani awabariki watu (54-61) Dhabihu na sherehe ya wakfu (62-66) 9 Yehova amtokea tena Sulemani (1-9) Zawadi ya Sulemani kwa Mfalme Hiramu (10-14) Miradi mbalimbali ya Sulemani (15-28) 10 Malkia wa Sheba amtembelea Sulemani (1-13) Utajiri mwingi wa Sulemani (14-29) 11 Wake za Sulemani waugeuza moyo wake (1-13) Wapinzani wa Sulemani (14-25) Yeroboamu aahidiwa makabila kumi (26-40) Sulemani afa; Rehoboamu awekwa kuwa mfalme (41-43) 12 Rehoboamu awajibu watu kwa ukali (1-15) Makabila kumi yaasi (16-19) Yeroboamu awekwa kuwa mfalme wa Israeli (20) Rehoboamu aambiwa asipigane na Waisraeli (21-24) Yeroboamu aanzisha ibada ya ndama (25-33) 13 Unabii dhidi ya madhabahu ya Betheli (1-10) Madhabahu yapasuka (5) Mtu wa Mungu akosa kutii (11-34) 14 Unabii wa Ahiya dhidi ya Yeroboamu (1-20) Rehoboamu atawala Yuda (21-31) Shishaki ashambulia (25, 26) 15 Abiyamu, mfalme wa Yuda (1-8) Asa, mfalme wa Yuda (9-24) Nadabu, mfalme wa Israeli (25-32) Baasha, mfalme wa Israeli (33, 34) 16 Hukumu ya Yehova dhidi ya Baasha (1-7) Ela, mfalme wa Israeli (8-14) Zimri, mfalme wa Israeli (15-20) Omri, mfalme wa Israeli (21-28) Ahabu, mfalme wa Israeli (29-33) Hieli ajenga upya Yeriko (34) 17 Nabii Eliya atabiri ukame (1) Eliya alishwa na kunguru (2-7) Eliya amtembelea mjane kule Sarefathi (8-16) Mwana wa mjane afa na kufufuliwa (17-24) 18 Eliya akutana na Obadia na Ahabu (1-18) Eliya apambana na manabii wa Baali kule Karmeli (19-40) “Kuyumbayumba kati ya maoni mawili” (21) Ukame wa miaka mitatu na nusu waisha (41-46) 19 Eliya akimbia ghadhabu ya Yezebeli (1-8) Yehova amtokea Eliya kule Horebu (9-14) Eliya aambiwa amtie mafuta Hazaeli, Yehu, Elisha (15-18) Elisha awekwa rasmi kuchukua nafasi ya Eliya (19-21) 20 Wasiria wapigana vita dhidi ya Ahabu (1-12) Ahabu awashinda Wasiria (13-34) Unabii dhidi ya Ahabu (35-43) 21 Ahabu atamani shamba la mizabibu la Nabothi (1-4) Yezebeli apanga njama ya kumuua Nabothi (5-16) Ujumbe wa Eliya dhidi ya Ahabu (17-26) Ahabu ajinyenyekeza (27-29) 22 Yehoshafati aungana na Ahabu (1-12) Mikaya atabiri kwamba watashindwa (13-28) Roho ya udanganyifu itampumbaza Ahabu (21, 22) Ahabu auawa huko Ramothi-gileadi (29-40) Yehoshafati atawala Yuda (41-50) Ahazia mfalme wa Israeli (51-53)