Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 1 Mambo ya Nyakati—Yaliyomo 1 MAMBO YA NYAKATI YALIYOMO 1 Kuanzia Adamu mpaka Abrahamu (1-27) Wazao wa Abrahamu (28-37) Waedomu na wafalme wao na mashehe wao (38-54) 2 Wana 12 wa Israeli (1, 2) Wazao wa Yuda (3-55) 3 Wazao wa Daudi (1-9) Uzao wa kifalme wa Daudi (10-24) 4 Wazao wengine wa Yuda (1-23) Yabesi na sala yake (9, 10) Wazao wa Simeoni (24-43) 5 Wazao wa Rubeni (1-10) Wazao wa Gadi (11-17) Wahagri washindwa (18-22) Nusu ya kabila la Manase (23-26) 6 Wazao wa Lawi (1-30) Waimbaji wa hekaluni (31-47) Wazao wa Haruni (48-53) Makao ya Walawi (54-81) 7 Wazao wa Isakari (1-5), wa Benjamini (6-12), wa Naftali (13), wa Manase (14-19), wa Efraimu (20-29), na wa Asheri (30-40) 8 Wazao wa Benjamini (1-40) Wazao wa Sauli (33-40) 9 Koo zilizoandikishwa baada ya kurudi kutoka uhamishoni (1-34) Orodha ya wazao wa Sauli yarudiwa (35-44) 10 Kifo cha Sauli na wanawe (1-14) 11 Daudi atiwa mafuta na Waisraeli wote kuwa mfalme (1-3) Daudi ateka jiji la Sayuni (4-9) Mashujaa hodari wa Daudi (10-47) 12 Waliounga mkono utawala wa Daudi (1-40) 13 Sanduku la agano laletwa kutoka Kiriath-yearimu (1-14) Uza auawa (9, 10) 14 Daudi aimarishwa kuwa mfalme (1, 2) Familia ya Daudi (3-7) Wafilisti washindwa (8-17) 15 Walawi wabeba sanduku la agano na kulipeleka Yerusalemu (1-29) Mikali amdharau Daudi (29) 16 Sanduku la agano lawekwa hemani (1-6) Wimbo wa shukrani wa Daudi (7-36) “Yehova amekuwa Mfalme!” (31) Utumishi mbele ya sanduku la agano (37-43) 17 Daudi hatajenga hekalu (1-6) Agano pamoja na Daudi kwa ajili ya ufalme (7-15) Sala ya Daudi ya shukrani (16-27) 18 Ushindi mbalimbali wa Daudi (1-13) Wasimamizi wa Daudi (14-17) 19 Waamoni wawatendea vibaya wajumbe wa Daudi (1-5) Daudi awashinda Waamoni na Wasiria (6-19) 20 Jiji la Raba latekwa (1-3) Majitu ya Wafilisti yauawa (4-8) 21 Daudi awahesabu watu bila idhini (1-6) Yehova awaadhibu (7-17) Daudi ajenga madhabahu (18-30) 22 Daudi afanya matayarisho ya kujenga hekalu (1-5) Daudi ampa Sulemani maagizo (6-16) Wakuu waamriwa wamsaidie Sulemani (17-19) 23 Daudi awapanga Walawi (1-32) Haruni na wanawe watengwa kando (13) 24 Daudi awapanga makuhani katika vikundi 24 (1-19) Kazi nyingine za Walawi (20-31) 25 Wanamuziki na waimbaji wa nyumba ya Mungu (1-31) 26 Vikundi vya walinzi wa malango (1-19) Waweka hazina na maofisa wengine (20-32) 27 Maofisa waliomtumikia mfalme (1-34) 28 Hotuba ya Daudi kuhusu ujenzi wa hekalu (1-8) Maagizo aliyompa Sulemani; ampa ramani ya ujenzi (9-21) 29 Michango kwa ajili ya hekalu (1-9) Sala ya Daudi (10-19) Watu washangilia; utawala wa Sulemani (20-25) Kifo cha Daudi (26-30)