Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Ezra—Yaliyomo

EZRA

YALIYOMO

  • 1

    • Agizo la Mfalme Koreshi la kujenga upya hekalu (1-4)

    • Watu walio uhamishoni wajitayarisha kurudi Babiloni (5-11)

  • 2

    • Orodha ya watu waliorudi kutoka uhamishoni (1-67)

      • Watumishi wa hekaluni (43-54)

      • Wana wa watumishi wa Sulemani (55-57)

    • Matoleo ya hiari kwa ajili ya hekalu (68-70)

  • 3

    • Madhabahu yajengwa upya na dhabihu zatolewa (1-7)

    • Kazi ya kujenga upya hekalu yaanza (8, 9)

    • Msingi wa hekalu wawekwa (10-13)

  • 4

    • Kazi ya kujenga upya hekalu yapingwa (1-6)

    • Maadui watuma malalamishi kwa Mfalme Artashasta (7-16)

    • Artashasta ajibu (17-22)

    • Ujenzi wa hekalu wasimamishwa (23, 24)

  • 5

    • Wayahudi waanza tena kujenga hekalu (1-5)

    • Barua ambayo Tatenai alimtumia Mfalme Dario (6-17)

  • 6

    • Uchunguzi na agizo la Dario (1-12)

    • Ujenzi wakamilika na hekalu lazinduliwa (13-18)

    • Pasaka yaadhimishwa (19-22)

  • 7

    • Ezra aja Yerusalemu (1-10)

    • Barua ya Artashasta kwa Ezra (11-26)

    • Ezra amsifu Yehova (27, 28)

  • 8

    • Orodha ya wale waliorudi pamoja na Ezra (1-14)

    • Maandalizi ya safari (15-30)

    • Kuondoka Babiloni na kufika Yerusalemu (31-36)

  • 9

    • Waisraeli waoa wanawake wa kigeni (1-4)

    • Sala ya Ezra ya kuungama (5-15)

  • 10

    • Agano la kuwafukuza wanawake wa kigeni (1-14)

    • Wanawake wa kigeni wafukuzwa (15-44)

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki