Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Esta—Yaliyomo ESTA YALIYOMO 1 Karamu ya Mfalme Ahasuero kule Shushani (1-9) Malkia Vashti akataa kutii (10-12) Mfalme ashauriana na wanaume wake wenye hekima (13-20) Barua za agizo la mfalme zatumwa (21, 22) 2 Malkia mpya atafutwa (1-14) Esta awa malkia (15-20) Mordekai afunua njama (21-23) 3 Mfalme amkweza Hamani (1-4) Hamani apanga njama ya kuwaangamiza Wayahudi (5-15) 4 Mordekai aomboleza (1-5) Mordekai amwomba Esta aingilie kati (6-17) 5 Esta aenda mbele ya mfalme (1-8) Hasira na kiburi cha Hamani (9-14) 6 Mordekai aheshimiwa na mfalme (1-14) 7 Esta afunua uovu wa Hamani (1-6a) Hamani atundikwa kwenye mti alioutengeneza (6b-10) 8 Mordekai apandishwa cheo (1, 2) Esta amsihi mfalme (3-6) Mfalme atoa agizo lingine (7-14) Wayahudi wapata kitulizo na kushangilia (15-17) 9 Ushindi wa Wayahudi (1-19) Sherehe ya Purimu yaanzishwa (20-32) 10 Ukuu wa Mordekai (1-3)