Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Amosi—Yaliyomo AMOSI YALIYOMO 1 Amosi apokea ujumbe kutoka kwa Yehova (1, 2) Wahukumiwa kwa sababu ya kuasi tena na tena (3-15) Siria (3-5), Ufilisti (6-8), Tiro (9, 10), Edomu (11, 12), Amoni (13-15) 2 Wahukumiwa kwa sababu ya kuasi tena na tena (1-16) Moabu (1-3), Yuda (4, 5), Israeli (6-16) 3 Kutangaza hukumu ya Yehova (1-8) Mungu afunua siri yake (7) Ujumbe dhidi ya Samaria (9-15) 4 Ujumbe dhidi ya ng’ombe wa Bashani (1-3) Yehova adhihaki ibada ya uwongo ya Waisraeli (4, 5) Waisraeli wakataa nidhamu (6-13) “Jitayarishe kukutana na Mungu wako” (12) ‘Mungu humwambia mwanadamu mawazo Yake’ (13) 5 Waisraeli ni kama bikira aliyeanguka (1-3) Mtafuteni Yehova, mwendelee kuishi (4-17) Chukieni maovu, pendeni mema (15) Siku ya Yehova itakuwa siku ya giza (18-27) Dhabihu za Waisraeli zakataliwa (22) 6 Ole wao wasiojali! (1-14) Vitanda vya pembe za tembo; mabakuli ya divai (4, 6) 7 Maono yanayoonyesha mwisho wa Israeli unakaribia (1-9) Nzige (1-3), moto (4-6), timazi (7-9) Amosi aambiwa aache kutabiri (10-17) 8 Maono ya kikapu kilichojaa matunda ya wakati wa kiangazi (1-3) Wakandamizaji washutumiwa (4-14) Njaa ya kiroho (11) 9 Hukumu za Mungu haziepukiki (1-10) Kibanda cha Daudi kitainuliwa (11-15)