Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Habakuki—Yaliyomo

HABAKUKI

YALIYOMO

  • 1

    • Nabii alilia msaada (1-4)

      • ‘Ee Yehova, mpaka lini?’ (2)

      • “Kwa nini unavumilia ukandamizaji?” (3)

    • Wakaldayo, watumiwa na Mungu kutekeleza hukumu (5-11)

    • Nabii amsihi Yehova (12-17)

      • ‘Mungu wangu, wewe hufi’ (12)

      • ‘Wewe ni safi sana usiweze kutazama uovu’ (13)

  • 2

    • ‘Nitakaa macho kuhusu atakalosema’ (1)

    • Yehova amjibu nabii (2-​20)

      • ‘Endelea kutarajia maono’ (3)

      • Mwadilifu ataishi kwa uaminifu (4)

      • Ole tano kwa Wakaldayo (6-20)

        • Dunia yote itajaa ujuzi kumhusu Yehova (14)

  • 3

    • Nabii asali ili Yehova achukue hatua (1-19)

      • Mungu atawaokoa watiwa-mafuta wake (13)

      • Nitashangilia katika Yehova (17, 18)

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki