Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Malaki—Yaliyomo

MALAKI

YALIYOMO

  • 1

    • Yehova anawapenda watu wake (1-5)

    • Makuhani watoa dhabihu zisizofaa (6-14)

      • Jina la Mungu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa (11)

  • 2

    • Makuhani washindwa kuwafundisha watu (1-9)

      • Midomo ya kuhani inapaswa kulinda ujuzi (7)

    • Watu wawataliki wake zao bila msingi (10-17)

      • “‘Ninachukia talaka,’ asema Yehova” (16)

  • 3

    • Bwana wa kweli aja kutakasa hekalu lake (1-5)

      • Mjumbe wa agano (1)

    • Washauriwa wamrudie Yehova (6-12)

      • Yehova habadiliki (6)

      • “Nirudieni, nami nitawarudia” (7)

      • ‘Leteni sehemu yote ya kumi, na Yehova atawamwagia baraka’ (10)

    • Mwadilifu na mwovu (13-18)

      • Majina yaandikwa katika kitabu cha kumbukumbu cha Mungu (16)

      • Tofauti kati ya mwadilifu na mwovu (18)

  • 4

    • Kuja kwa Eliya kabla ya siku ya Yehova (1-6)

      • “Jua la uadilifu litawaangazia” (2)

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki