LUKA
YALIYOMO
-
Wanawake waliomfuata Yesu (1-3)
Mfano wa mpandaji (4-8)
Kwa nini Yesu alitumia mifano? (9, 10)
Mfano wa mpandaji wafafanuliwa (11-15)
Taa haipaswi kufunikwa (16-18)
Mama na ndugu za Yesu (19-21)
Yesu atuliza dhoruba (22-25)
Yesu awaruhusu roho waovu waingie ndani ya nguruwe (26-39)
Binti ya Yairo; mwanamke agusa mavazi ya nje ya Yesu (40-56)
-
Wale 12 wapewa maagizo kuhusu huduma (1-6)
Herode ashangazwa na Yesu (7-9)
Yesu awalisha wanaume 5,000 (10-17)
Petro amtambua Kristo (18-20)
Kifo cha Yesu chatabiriwa (21, 22)
Wanafunzi wa kweli (23-27)
Yesu ageuka sura (28-36)
Mvulana aliyekuwa na roho mwovu aponywa (37-43a)
Kifo cha Yesu chatabiriwa tena (43b-45)
Wanafunzi wabishana kuhusu cheo (46-48)
Asiyetupinga yuko upande wetu (49, 50)
Kijiji cha Wasamaria chamkataa Yesu (51-56)
Jinsi ya kumfuata Yesu (57-62)
-
Chachu ya Mafarisayo (1-3)
Mwogope Mungu, si wanadamu (4-7)
Kukiri muungano na Kristo (8-12)
Mfano wa tajiri mpumbavu (13-21)
Acheni kuhangaika (22-34)
Kundi dogo (32)
Kukesha (35-40)
Msimamizi mwaminifu na msimamizi asiye mwaminifu (41-48)
Si amani, bali mgawanyiko (49-53)
Uhitaji wa kuchunguza nyakati (54-56)
Kutatua mizozo (57-59)
-
Makuhani wapanga njama ya kumuua Yesu (1-6)
Matayarisho ya Pasaka ya mwisho (7-13)
Mlo wa Jioni wa Bwana waanzishwa (14-20)
‘Msaliti wangu yuko pamoja nami mezani’ (21-23)
Wabishana vikali kuhusu aliye mkuu zaidi (24-27)
Yesu afanya agano kwa ajili ya ufalme (28-30)
Yesu atabiri Petro atamkana (31-34)
Uhitaji wa kuwa tayari; panga mbili (35-38)
Yesu asali kwenye Mlima wa Mizeituni (39-46)
Yesu akamatwa (47-53)
Petro amkana Yesu (54-62)
Yesu adhihakiwa (63-65)
Kesi mbele ya Sanhedrini (66-71)