Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Wagalatia—Yaliyomo WAGALATIA YALIYOMO 1 Salamu (1-5) Hakuna habari njema nyingine (6-9) Habari njema aliyohubiri Paulo inatoka kwa Mungu (10-12) Jinsi Paulo alivyogeuka na kazi yake ya mwanzoni (13-24) 2 Paulo akutana na mitume huko Yerusalemu (1-10) Paulo amrekebisha Petro (Kefa) (11-14) Kutangazwa kuwa waadilifu kupitia imani tu (15-21) 3 Tofauti kati ya matendo ya Sheria na imani (1-14) Mwadilifu ataishi kupitia imani (11) Ahadi kwa Abrahamu haikuwa kupitia Sheria (15-18) Kristo, uzao wa Abrahamu (16) Chanzo na kusudi la Sheria (19-25) Wana wa Mungu kupitia imani (26-29) Wazao wa Abrahamu, wale walio wa Kristo (29) 4 Si watumwa tena, bali ni wana (1-7) Paulo awahangaikia Wagalatia (8-20) Hagari na Sara: maagano mawili (21-31) Yerusalemu lililo juu, mama yetu, liko huru (26) 5 Uhuru wa Kikristo (1-15) Kutembea kwa roho (16-26) Matendo ya mwili (19-21) Tunda la roho (22, 23) 6 Kubebeana mizigo (1-10) Kuvuna ulichopanda (7, 8) Kutahiriwa si muhimu (11-16) Kiumbe kipya (15) Umalizio (17, 18)