Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Waefeso—Yaliyomo WAEFESO YALIYOMO 1 Salamu (1, 2) Baraka za kiroho (3-7) Kuvikusanya vitu vyote katika Kristo (8-14) “Usimamizi” katika nyakati zilizowekwa (10) Kutiwa muhuri kwa roho kama “rehani ya mapema” (13, 14) Paulo amshukuru Mungu kwa sababu ya imani ya Waefeso na kusali kwa ajili yao (15-23) 2 Wafanywa kuwa hai pamoja na Kristo (1-10) Ukuta unaotenganisha waharibiwa (11-22) 3 Siri takatifu ingetia ndani Watu wa Mataifa (1-13) Watu wa Mataifa ni warithi wenzi pamoja na Kristo (6) Kusudi la Mungu la milele (11) Sala kwa ajili ya Waefeso ili wapate hekima (14-21) 4 Umoja katika mwili wa Kristo (1-16) Zawadi katika wanadamu (8) Utu wa zamani na utu mpya (17-32) 5 Usemi na mwenendo safi (1-5) Tembeeni kama watoto wa nuru (6-14) Mjazwe roho (15-20) Tumieni vizuri kabisa wakati wenu (16) Ushauri kwa waume na wake (21-33) 6 Ushauri kwa watoto na wazazi (1-4) Ushauri kwa watumwa na mabwana (5-9) Mavazi kamili ya silaha kutoka kwa Mungu (10-20) Salamu za mwisho (21-24)