Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Wakolosai—Yaliyomo WAKOLOSAI YALIYOMO 1 Salamu (1, 2) Shukrani kwa sababu ya imani ya Wakolosai (3-8) Sala kwa ajili ya ukuzi wa kiroho (9-12) Jukumu muhimu la Kristo (13-23) Kazi ngumu ya Paulo kwa ajili ya kutaniko (24-29) 2 Siri takatifu ya Mungu, Kristo (1-5) Jihadharini na wadanganyifu (6-15) Uhalisi ni wa Kristo (16-23) 3 Utu wa zamani na utu mpya (1-17) Viueni viungo vya mwili wenu (5) Upendo, kifungo kikamilifu cha muungano (14) Ushauri kwa familia za Kikristo (18-25) 4 Ushauri kwa mabwana (1) “Dumuni katika sala” (2-4) Kutembea kwa hekima kuelekea walio nje (5, 6) Salamu za mwisho (7-18)