Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 1 Timotheo—Yaliyomo 1 TIMOTHEO YALIYOMO 1 Salamu (1, 2) Onyo dhidi ya walimu wa uwongo (3-11) Paulo atendewa kwa fadhili zisizostahiliwa (12-16) Mfalme wa umilele (17) ‘Pigana vita vizuri’ (18-20) 2 Kusali kwa ajili ya watu wa namna zote (1-7) Mungu mmoja, mpatanishi mmoja (5) Fidia inayolingana kwa ajili ya wote (6) Maagizo kwa wanaume na wanawake (8-15) Kuvaa kwa kiasi (9, 10) 3 Sifa za kustahili kuwa waangalizi (1-7) Sifa za kustahili kuwa watumishi wa huduma (8-13) Siri takatifu ya ujitoaji-kimungu (14-16) 4 Onyo dhidi ya mafundisho ya roho waovu (1-5) Jinsi ya kuwa mhudumu mzuri wa Kristo (6-10) Tofauti kati ya mazoezi ya kimwili na ujitoaji-kimungu (8) Angalia kufundisha kwako (11-16) 5 Jinsi ya kuwatendea vijana na wazee (1, 2) Kuwasaidia wajane (3-16) Kuandaa mahitaji ya watu wa nyumba yako (8) Kuheshimu wazee wenye bidii (17-25) “Divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako” (23) 6 Watumwa wawaheshimu mabwana wao (1, 2) Walimu wa uwongo na kupenda pesa (3-10) Maagizo kwa ajili ya mtu wa Mungu (11-16) Kuwa tajiri katika matendo mema (17-19) Linda mambo uliyokabidhiwa (20, 21)