Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 2 Timotheo—Yaliyomo 2 TIMOTHEO YALIYOMO 1 Salamu (1, 2) Paulo amshukuru Mungu kwa sababu ya imani ya Timotheo (3-5) Endelea kuchochea kama moto zawadi ya Mungu (6-11) Endelea kushika maneno yenye manufaa (12-14) Maadui na marafiki wa Paulo (15-18) 2 Wakabidhi ujumbe wanaume wanaostahili (1-7) Kuvumilia mateso kwa ajili ya habari njema (8-13) Litumie sawasawa neno la Mungu (14-19) Zikimbie tamaa za ujana (20-22) Jinsi ya kushughulika na wapinzani (23-26) 3 Nyakati hatari katika siku za mwisho (1-7) Fuata mfano wa Paulo kwa ukaribu (8-13) “Endelea kufuata mambo uliyojifunza” (14-17) Kila Andiko limeongozwa na roho ya Mungu (16) 4 “Timiza kikamili huduma yako” (1-5) Hubiri neno kwa uharaka (2) “Nimepigana pigano zuri” (6-8) Maelezo ya binafsi (9-18) Salamu za mwisho (19-22)