Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Yakobo—Yaliyomo YAKOBO YALIYOMO 1 Salamu (1) Uvumilivu huleta furaha (2-15) Sifa iliyojaribiwa ya imani (3) Endelea kuomba ukiwa na imani (5-8) Tamaa huongoza kwenye dhambi na kifo (14, 15) Kila zawadi njema hutoka juu (16-18) Kusikia na kutenda neno (19-25) Mtu anayejitazama kwenye kioo (23, 24) Ibada safi na isiyo na unajisi (26, 27) 2 Upendeleo ni dhambi (1-13) Upendo, sheria ya kifalme (8) Imani bila matendo imekufa (14-26) Roho waovu wanaamini na kutetemeka (19) Abrahamu aliitwa rafiki ya Yehova (23) 3 Kuufuga ulimi (1-12) Wengi hawapaswi kuwa walimu (1) Hekima kutoka juu (13-18) 4 Usiwe rafiki ya ulimwengu (1-12) Mpingeni Ibilisi (7) Mkaribieni Mungu (8) Onyo dhidi ya kiburi (13-17) “Yehova akipenda” (15) 5 Onyo kwa matajiri (1-6) Mungu huwabariki wanaovumilia kwa subira (7-11) Acheni “ndiyo” yenu iwe ndiyo (12) Sala ya imani ina nguvu (13-18) Kumsaidia mtenda dhambi arudi (19, 20)