Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 1 Petro—Yaliyomo 1 PETRO YALIYOMO 1 Salamu (1, 2) Kuzaliwa upya kwenye tumaini lililo hai (3-12) Iweni watakatifu kama watoto watiifu (13-25) 2 Kuzeni hamu kwa ajili ya neno (1-3) Mawe yaliyo hai yaliyojengwa kuwa nyumba ya kiroho (4-10) Kuishi kama wageni katika ulimwengu (11, 12) Ujitiisho unaofaa (13-25) Kristo, kielelezo chetu (21) 3 Wake na waume (1-7) Iweni na hisia-mwenzi; tafuteni amani (8-12) Kuteseka kwa ajili ya uadilifu (13-22) Muwe tayari kutetea tumaini lenu (15) Ubatizo na dhamiri njema (21) 4 Kuishi kwa ajili ya mapenzi ya Mungu, kama alivyofanya Kristo (1-6) Mwisho wa mambo yote umekaribia (7-11) Kuteseka kwa kuwa Mkristo (12-19) 5 Lichungeni kundi la Mungu (1-4) Muwe wanyenyekevu na mkeshe (5-11) Mtupieni Mungu mahangaiko yenu yote (7) Ibilisi ni kama simba anayenguruma (8) Maneno ya kumalizia (12-14)