Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Ruthu—Yaliyomo RUTHU YALIYOMO 1 Elimeleki na familia yake wahamia Moabu (1, 2) Naomi, Orpa, na Ruthu wafiwa na waume zao (3-6) Ruthu aonyesha ushikamanifu kwa Naomi na kwa Mungu wa Naomi (7-17) Naomi arudi Bethlehemu pamoja na Ruthu (18-22) 2 Ruthu aokota masuke ya nafaka katika shamba la Boazi (1-3) Ruthu na Boazi wakutana (4-16) Ruthu amweleza Naomi kuhusu fadhili za Boazi (17-23) 3 Naomi ampa Ruthu maagizo (1-4) Ruthu na Boazi kwenye uwanja wa kupuria nafaka (5-15) Ruthu arudi kwa Naomi (16-18) 4 Boazi awa mkombozi (1-12) Boazi na Ruthu wamzaa Obedi (13-17) Ukoo wa Daudi (18-22)