Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb seh. 10
  • Utangulizi wa Sehemu ya 10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya 10
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb seh. 10
Mfalme Ahasuero anamnyooshea Malkia Esta fimbo yake

Utanguliza wa Sehemu ya 10

Yehova ni Mfalme juu ya kila kitu. Sikuzote amekuwa na mamlaka juu ya kila kitu, naye ataendelea kuwa na mamlaka. Kwa mfano, Yeremia alipotupwa ndani ya shimo, Yehova alimwokoa ili asife. Alimwokoa Shadraki, Meshaki, na Abednego kutoka katika tanuru ya moto na akamwokoa Danieli kutoka katika midomo ya simba. Yehova alimlinda Esta ili aokoe taifa zima. Hataruhusu uovu uendelee milele. Unabii kuhusu ile sanamu kubwa na mti mkubwa unatoa uhakikisho kwamba hivi karibuni Ufalme wa Yehova utaondoa uovu wote na kutawala dunia.

MAMBO MAKUU

  • Ufalme wa Yehova ni wenye nguvu zaidi kuliko serikali yoyote ya kibinadamu

  • Kama Esta na Danieli, tunapaswa kutetea mambo yanayofaa, haidhuru tupo wapi

  • Mtegemee Yehova kabisa unapokabili hali ngumu, kama ambavyo Yeremia na Nehemia walifanya

    Tanzanian sign language publications (2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki