Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb seh. 8
  • Utangulizi wa Sehemu ya 8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya 8
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Hekalu kwa Ajili ya Yehova
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • 1 Wafalme—Yaliyomo
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb seh. 8
Mfalme Sulemani akitoa uamuzi mama ya mtoto ni nani

Utanguliza wa Sehemu ya 8

Yehova alimbariki Sulemani kwa kumpa hekima nyingi na akampa pendeleo la kujenga hekalu. Hata hivyo, hatua kwa hatua Sulemani alimwacha Yehova. Ikiwa wewe ni mzazi, mweleze mtoto wako jinsi waabudu wa sanamu walivyomfanya Sulemani amwasi Mungu. Ufalme uligawanyika na wafalme wabaya wakawafanya watu wawe waasi-imani na kuabudu sanamu. Wakati huo, manabii wengi washikamanifu wa Yehova waliteswa na kuuawa. Malkia Yezebeli aliwafanya watu wa ufalme wa kaskazini watumbukie zaidi katika uasi-imani. Hicho kilikuwa kipindi kibaya sana katika historia ya Israeli. Lakini bado kulikuwa na watumishi wengi waaminifu wa Yehova, kutia ndani Mfalme Yehoshafati na nabii Eliya.

MAMBO MAKUU

  • Mtumikie Yehova kwa uaminifu, hata ikiwa watu wa familia na marafiki hawafanyi hivyo

  • Ukimwacha Yehova, utapatwa na mabaya; lakini ukishikamana naye, atakubariki

  • Ukihisi kwamba huna tumaini, Yehova atatumia nguvu zake kukusaidia katika njia ambazo hujawahi kuwazia

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki