Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb seh. 9
  • Utangulizi wa Sehemu ya 9

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya 9
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Ujasiri wa Yehoyada
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Shujaa na Msichana Mdogo
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Kwa Nini Tunapaswa Kumwogopa Yehova?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Vijana​​—⁠Maisha Yenu Yatakuwaje?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb seh. 9
Msichana Mwisraeli akizungumza na mke wa Naamani mkoma

Utangulizi wa Sehemu ya 9

Sehemu hii inatufundisha kuhusu vijana, manabii, na wafalme walioonyesha imani katika Yehova. Kule Siria, msichana mdogo Mwisraeli alikuwa na imani kwamba nabii wa Yehova angemponya Naamani. Nabii Elisha alikuwa na uhakika kwamba Yehova angemlinda kutokana na jeshi adui. Kuhani Mkuu Yehoyada alihatarisha uhai wake ili kumlinda Yehoashi, aliyekuwa bado mtoto, kutokana na nyanya (au bibi) yake mwovu, Athalia. Mfalme Hezekia alikuwa na uhakika kwamba Yehova ataiokoa Yerusalemu, na hata alipotishwa na Waashuru hakusalimu amri. Mfalme Yosia aliondoa kabisa ibada ya sanamu katika nchi yote, akarekebisha hekalu, na akarudisha ibada ya kweli nchini.

MAMBO MAKUU

  • Hata ukiwa mtoto unaweza kutoa ushahidi kumhusu Yehova

  • Tunapofanya kilicho sawa, Yehova anaahidi kwamba atakuwa pamoja nasi

  • Kama Yona, jifunze kufuata miongozo ya Yehova na usilalamike mambo yasipoenda kama unavyotarajia

    Tanzanian sign language publications (2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki