Ijumaa
“Habari njema ya shangwe kubwa ambayo watu wote watakuwa nayo”—Luka 2:10
Asubuhi
- 3:20 Video ya Muziki 
- 3:30 Wimbo Na. 150 na Sala 
- 3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Kwa Nini Tunahitaji Habari Njema? (1 Wakorintho 9:16; 1 Timotheo 1:12) 
- 4:10 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: - Habari Njema Kulingana na Yesu: Drama ya 1 - Nuru ya Kweli ya Ulimwengu—Sehemu ya I (Mathayo 1:18-25; Luka 1:1-80; Yohana 1:1-5) 
- 4:45 Wimbo Na. 96 na Matangazo 
- 4:55 MFULULIZO: ‘Waliongozwa na Roho Takatifu’ - • Mathayo (2 Petro 1:21) 
- • Marko (Marko 10:21) 
- • Luka (Luka 1:1-4) 
- • Yohana (Yohana 20:31) 
 
- 6:10 Wimbo Na. 110 na Mapumziko 
Alasiri
- 7:35 Video ya Muziki 
- 7:45 Wimbo Na. 117 
- 7:50 MFULULIZO: Amini Ukweli Kumhusu Yesu - • Neno (Yohana 1:1; Wafilipi 2:8-11) 
- • Jina Lake (Matendo 4:12) 
- • Kuzaliwa Kwake (Mathayo 2:1, 2, 7-12, 16) 
 
- 8:30 Wimbo Na. 99 na Matangazo 
- 8:40 MFULULIZO: Jifunze Kuhusu Nchi Ambayo Yesu Aliishi - • Jiografia (Kumbukumbu la Torati 8:7) 
- • Wanyama (Luka 2:8, 24) 
- • Chakula (Luka 11:3; 1 Wakorintho 10:31) 
- • Maisha ya Nyumbani (Wafilipi 1:10) 
- • Jamii (Kumbukumbu la Torati 22:4) 
- • Elimu (Kumbukumbu la Torati 6:6, 7) 
- • Ibada (Kumbukumbu la Torati 16:15, 16) 
 
- 10:15 “Habari Njema ya Milele”—Katika Maana Gani? (Ufunuo 14:6, 7) 
- 10:50 Wimbo Na. 66 na Sala ya Mwisho