Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Timotheo alikuwa mhudumu wa habari njema mwenye uzoefu mwingi. Hata hivyo, mtume Paulo alimtia moyo azidi kufanya maendeleo ya kiroho. Kwa kufuata shauri la Paulo, Timotheo angetumiwa zaidi na Yehova na angewasaidia zaidi ndugu na dada zake. Je, kama Timotheo, unatamani kumtumikia Yehova na waabudu wenzako kikamili zaidi? Bila shaka, ungependa kufanya hivyo. Ni malengo gani yatakayokusaidia kufanya hivyo? Na ni mambo gani yanayohusika katika kujiwekea na kutimiza malengo hayo?

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki