Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Katika sala yake, Hana alitumia maneno yanayofanana na yale yanayopatikana katika maandishi ya Musa. Ni wazi kwamba alitumia wakati kutafakari Maandiko. (Kum. 4:35; 8:18; 32:​4, 39; 1 Sam. 2:​2, 6, 7) Karne nyingi baadaye, Maria, mama ya Yesu, alitumia maneno ya sifa yanayofanana sana na maneno aliyosema Hana.—Luka 1:​46-55.

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki