WIMBO NA. 129
Tutaendelea Kuvumilia
- 1. Tunawezaje - kuvumilia mikazo? - Yesu katuwekea - mfano mzuri. - Ahadi za Mungu, - alitafakari. - (KORASI) - Basi tuvumilie. - Tulinde imani. - Kwa kuwa Atupenda, - Tutavumilia hadi mwisho. 
- 2. Japo maisha - yamejawa na uchungu; - Twatafakari, - Mfumo mpya wa Mungu. - Tuwepo, tuone. - Tumeazimia. - (KORASI) - Basi tuvumilie. - Tulinde imani. - Kwa kuwa Atupenda, - Tutavumilia hadi mwisho. 
- 3. Hatufi moyo - Wala hatutaogopa. - Tutumikie - hadi mwisho ufikapo. - Tuzidi kudumu, - Mwisho u karibu. - (KORASI) - Basi tuvumilie. - Tulinde imani. - Kwa kuwa Atupenda, - Tutavumilia hadi mwisho. 
(Ona pia Mdo. 20:19, 20; Yak. 1:12; 1 Pet. 4:12-14.)