WIMBO NA. 101
Kufanya Kazi Pamoja kwa Umoja
- 1. Katika zizi la Mungu. - Unabii watimia. - Kuna amani, umoja, - Na furaha tele. - Twapenda umoja; - Na upatano. - Katika kazi ya Mungu, - Kuna mengi ya kufanywa. - Tutumikie pamoja, - Tuwe na utii. 
- 2. Tumwombe Yehova Mungu, - Tuwe na akili moja; - Upendo uongezeke; - Tuwe na amani. - Inaburudisha, - Inapendeza. - Na tuonyeshe undugu, - Mungu atupe amani. - Umoja wetu udumu, - Tutumikiapo. 
(Ona pia Mika 2:12; Sef. 3:9; 1 Kor. 1:10.)