Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj 124
  • Washikamanifu Sikuzote

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Washikamanifu Sikuzote
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo Mshikamanifu wa Yehova Unamaanisha Nini Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Tunaweza Kuonyeshaje Kwamba Tunampenda Yehova?
    Furahia Maisha Milele!​—Masomo ya Kujifunza Biblia
  • Kujitayarisha Kuhubiri
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj 124

WIMBO NA. 124

Washikamanifu Sikuzote

(Zaburi 18:25)

  1. 1. Tuwe washikamanifu,

    Kwake Yehova Mungu.

    Tuko wakfu kwake Yeye;

    Amri zake twatii.

    Sikuzote zatufaa,

    Twataka kuzijua.

    Tunaweza kumwamini.

    Kamwe hatutamwacha.

  2. 2. Tuwe washikamanifu,

    Kwa ndugu zetu wote.

    Na ikiwa wana shida,

    Hatutawasahau.

    Twawajali sikuzote,

    Kwa maneno na tendo.

    Ushirika wa kindugu,

    Unatuunganisha.

  3. 3. Tuwe washikamanifu,

    Kwa wanaoongoza.

    Tupatapo maagizo,

    Tutatii kikweli.

    Mungu atatubariki,

    Na kutuimarisha.

    Tutakuwa mali Yake,

    Tukiwa wa’minifu.

(Ona pia Zab. 149:1; 1 Tim. 2:8; Ebr. 13:17.)

    Tanzanian sign language publications (2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki