2 PETRO YALIYOMO 1 Salamu (1) Fanyeni mwito wenu uwe hakika (2-15) Sifa zinazoongezwa kwenye imani (5-9) Neno la kinabii lafanywa hakika zaidi (16-21) 2 Walimu wa uwongo watatokea (1-3) Hukumu dhidi ya walimu wa uwongo ni hakika (4-10a) Malaika watupwa ndani ya Tartaro (4) Gharika; Sodoma na Gomora (5-7) Tabia za walimu wa uwongo (10b-22) 3 Wadhihaki wapuuza uharibifu unaokuja (1-7) Yehova hakawii (8-10) Fikirieni mnapaswa kuwa watu wa aina gani (11-16) Mbingu mpya na dunia mpya (13) Jilindeni ili msipotoshwe (17, 18)