B14-B
Pesa na Uzito
Pesa na Uzito Katika Maandiko ya Kiebrania
| Gera (1⁄20 ya shekeli) gramu 0.57 gera 10 = beka 1 | 
| Beka gramu 5.7 beka 2 = shekeli 1 | 
| Pimu gramu 7.8 pimu 1 = 2⁄3 ya shekeli | 
| Uzito wa Shekeli Shekeli gramu 11.4 shekeli 50 = mina 1 | 
| Mina gramu 570 mina 60 = talanta 1 | 
| Talanta kilogramu 34.2 | 
| Dariki (ya Uajemi, dhahabu) gramu 8.4 | 
Pesa na Uzito Katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
| Leptoni (ya Kiyahudi, shaba au shaba nyekundu) 1⁄2 kwadrani | 
| Kwadrani (ya Kiroma, shaba au shaba nyekundu) leptoni 2 | 
| Asarioni (ya Kiroma na ya mikoani, shaba au shaba nyekundu) kwadrante 4 | 
| Dinari (ya Kiroma, fedha) kwadrante 64 gramu 3.85 = Mshahara wa Siku 1 (saa 12) | 
| Drakma (ya Ugiriki, fedha) gramu 3.4 = Mshahara wa Siku 1 (saa 12) | 
| Didrakma (ya Ugiriki, fedha) drakma 2 gramu 6.8 = Mshahara wa Siku 2 | 
| Tetradrakma ya Antiokia Tetradrakma ya Tiro (Shekeli ya fedha ya Tiro) Tetradrakma (ya Ugiriki, fedha; pia iliitwa stateri ya fedha) drakma 4 gramu 13.6 = Mshahara wa Siku 4 | 
| Mina drakma 100 gramu 340 = mshahara wa siku 100 hivi | 
| Talanta mina 60 kilogramu 20.4 = mshahara wa miaka 20 hivi | 
| Pauni au Ratili (ya Kiroma) gramu 327 “Ratili moja ya mafuta yenye marashi, nardo halisi” |