B14-A
Biashara
- Vipimo vya Vitu vya Majimaji 
- Kori (bathi 10/ hini 60) - lita 220 / galoni 58.1; 
- Bathi (hini 6) - lita 22 / galoni 5.81 
- Hini (logi 12) - lita 3.67/ painti 7.75 
- Logi (1 ⁄ 12 ya hini) - lita 0.31 / painti 0.66 
- Vipimo vya Vitu Vikavu 
- Homeri (kori 1 / efa 10) - lita 220 / vibaba 200 
- Efa (sea 3 / omeri 10) - lita 22 / vibaba 20 
- Sea (omeri 31 ⁄ 3) - lita 7.33 / vibaba 6.66 
- Omeri (kabi 14 ⁄ 5) - lita 2.2 / vibaba 2 
- Kabi - lita 1.22 / vibaba 1.11 
- Kibaba - lita 1.08 / vibaba 0.98 
- Vipimo vya Urefu 
- Utete mrefu (mikono 6 mirefu) - mita 3.11 / futi 10.2 
- Utete (mikono 6) - mita 2.67 / futi 8.75 
- Pima - mita 1.8 / futi 6 
- Mkono mrefu (viganja 7) - sentimita 51.8 / inchi 20.4 
- Mkono (shubiri 2 / viganja 6) - sentimita 44.5 / inchi 17.5 
- Mkono mfupi - sentimita 38 / inchi 15 
- Stadiamu 1 ya Kiroma - 1 ⁄ 8 ya maili ya Kiroma =mita 185 /futi 606.95 
- 1 Upana wa kidole (1 ⁄ 4 ya kiganja) - sentimita 1.85 / inchi 0.73 
- 2 Upana wa kiganja (upana wa vidole 4) - sentimita 7.4 / inchi 2.9 
- 3 Shubiri (viganja 3) - sentimita 22.2 / inchi 8.75