Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb seh. 7
  • Utangulizi wa Sehemu ya 7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya 7
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Daudi na Sauli
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • 1 Samweli—Yaliyomo
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb seh. 7
Daudi akiwalinda kondoo wasishambuliwe na dubu

Utangulizi wa Sehemu ya 7

Sehemu hii inazungumzia historia ya maisha ya Mfalme Sauli na Mfalme Daudi, kwa kipindi cha miaka 80 hivi. Mwanzoni, Sauli alikuwa mnyenyekevu na alimwogopa Mungu, lakini baada ya muda alibadilika na kukataa kufuata mwongozo wa Yehova. Yehova alimkataa, na baada ya muda akamwagiza Samweli amtie mafuta Daudi ili awe mfalme wa Israeli. Kwa sababu ya wivu, Sauli alijaribu mara nyingi kumuua Daudi, hata hivyo, Daudi hakulipiza kisasi. Yonathani, mwana wa Sauli, alijua kwamba Yehova alikuwa amemchagua Daudi, hivyo akawa mshikamanifu kwa Daudi. Ingawa Daudi alifanya dhambi nzito, alikubali nidhamu ya Yehova. Ikiwa wewe ni mzazi, msaidie mtoto wako kutambua umuhimu wa kuunga mkono mipango ya Mungu.

MAMBO MAKUU

  • Utii wetu wa kutoka moyoni ndio kitu muhimu zaidi tunachoweza kumpatia Yehova

  • Usilipize kisasi, badala yake, mngojee Yehova arekebishe ukosefu wa haki

  • Ikiwa tumefanya dhambi nzito, hatupaswi kujaribu kuificha

    Tanzanian sign language publications (2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki