Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 16:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Je, bado hamwelewi maana, au je, hamkumbuki ile mikate mitano katika kisa cha wale elfu tano na ni vikapu vingapi mlivyookota?+

  • Marko 3:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na baada ya kuwatazama huku na huku kwa ghadhabu, akiwa amehuzunishwa na jinsi mioyo yao+ ilivyokuwa migumu, akamwambia mtu huyo: “Nyoosha mkono wako.” Naye akaunyoosha, na mkono wake ukapona.+

  • Marko 8:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Akijua hilo, akawaambia: “Kwa nini mnabishana kwa sababu hamna mikate?+ Je, bado hamjaelewa wala kupata maana? Je, mioyo yenu ni mizito isiweze kuelewa?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki