Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 12/15 uku. 3
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 21
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA DESEMBA 21
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 12/15 uku. 3

Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 21

JUMA LINALOANZA DESEMBA 21

Wimbo 90 na Sala

Funzo la Biblia la Kutaniko:

ia sura ya 5 ¶1-13 (Dak. 30)

Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: 2 Mambo ya Nyakati 20-24 (Dak. 8)

Na. 1: 2 Mambo ya Nyakati 20:13-20 (Isizidi dak. 3)

Na. 2: Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?—td 37B (Dak. 5)

Na. 3: Ni Nini Maana ya “Wakili Mkuu”? (Dak. 5)

Mkutano wa Utumishi:

Kichwa cha Mwezi Huu: “Lazima tuingie katika Ufalme wa Mungu kupitia dhiki nyingi.” —Matendo 14:22.

Wimbo 96

Dak. 5: Sanduku la Swali. Hotuba.

Dak. 10: Thamini Ukarimu wa Yehova. Hotuba inayotegemea gazeti la Mnara wa Mlinzi la Novemba 15, 2015, ukurasa wa 14-15. Hotuba itolewe na mzee.

Dak. 15: Wenye Kujihadhari Kama Nyoka na Wasio na Hatia Kama Njiwa. (Mt. 10:16) Mazungumzo yanayotegemea Kitabu cha Mwaka—2015, ukurasa wa 73, fungu la 1 na ukurasa wa 110 fungu la 2 hadi ukurasa wa 116. Waombe wasikilizaji waeleze mambo waliyojifunza.

Wimbo 137 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki