SEPTEMBA 1-7
METHALI 29
Wimbo 28 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Kataa Imani na Desturi Zisizo za Kimaandiko
(Dak. 10)
Mtii Yehova, nawe utakuwa na furaha ya kweli (Met 29:18; wp16.6 6, sanduku)
Tegemea hekima ya Mungu ili ujue ikiwa desturi fulani inakubalika kwa Yehova (Met 29:3a; w19.04 17 ¶13)
Kataa kushinikizwa kufuata desturi zisizo za kimaandiko (Met 29:25; w18.11 11 ¶12)
Utafiti unaotegemea Biblia uliofanywa kwa makini na mazungumzo mazuri yanaweza kukusaidia kushinda mkazo wa kushinikizwa
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Met 29:5—Ni nini maana ya kusifusifu, na ni katika njia gani “mtu anayemsifusifu jirani yake anautandaza wavu wa kuinasa miguu yake”? (it “Kusifusifu” ¶1)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 29:1-18 (th somo la 5)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu huyo ahudhurie hotuba ya pekee. (lmd somo la 2 jambo kuu la 3)
5. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Tumia Mnara wa Mlinzi Na. 1 2025 kuanzisha mazungumzo. Badili utangulizi wako mwenye nyumba anapopendezwa na jambo lingine. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)
6. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 5) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Toa gazeti la Mnara wa Mlinzi Na. 1 2025 kwa mtu anayekueleza kwamba anahangaishwa na vita. (lmd somo la 3 jambo kuu la 4)
Wimbo 159
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) lfb utangulizi wa sehemu ya 4 na somo la 14-15