Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Septemba uku. 3
  • Septemba 8-14

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 8-14
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Septemba uku. 3

SEPTEMBA 8-14

METHALI 30

Wimbo 136 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. “Usinipe Umaskini Wala Utajiri”

(Dak. 10)

Furaha ya kweli inatokana na kumtumaini Mungu, na si utajiri (Met 30:​8, 9; w18.01 24-25 ¶10-12)

Mtu mwenye pupa hatosheki kamwe (Met 30:​15, 16; w87 5/15 30 ¶8)

Kanuni za Biblia zinaweza kukusaidia kuepuka mkazo na madeni yasiyo ya lazima (Met 30:​24, 25; w11 6/1 10 ¶4)

Msichana mdogo akitumbukiza sarafu kwenye chupa huku mama yake akimtazama kwa shangwe.

PENDEKEZO KWA AJILI YA IBADA YA FAMILIA: Mkiwa familia, chunguzeni mtazamo wenu kuhusu pesa.—w24.06 13 ¶18.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 30:26—Tunajifunza nini kutokana na wibari? (w09 4/15 17 ¶11-13)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 30:​1-14 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Tumia Mnara wa Mlinzi Na. 1 2025 kuanzisha mazungumzo. (lmd somo la 1 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YA UMMA. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 4) Hotuba. ijwbq makala ya 102—Kichwa: Je, Kucheza Kamari ni Dhambi? (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 80

7. Usidanganywe na Amani ya Uwongo!—Chibisa Selemani

(Dak. 5) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Umejifunza nini kutokana na simulizi la Ndugu Selemani kuhusu kufanya maamuzi yanayoongoza kwenye furaha ya kweli na amani?

8. Video ya Septemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo

(Dak. 10) Onyesha VIDEO.

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 16-17

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 128 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki