OKTOBA 27–NOVEMBA 2
MHUBIRI 11-12
Wimbo 155 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Tunza Afya Yako, Na Ufurahie Maisha
(Dak. 10)
Inapowezekana, tenga wakati wa kufurahia mwanga wa jua na hewa safi (Mhu 11:7, 8; g 3/15 13 ¶6-7)
Tunza afya yako ya kimwili na ya kihisia (Mhu 11:10; w23.02 21 ¶6-7)
Jambo muhimu zaidi, mwabudu Yehova kwa moyo wako wote (Mhu 12:13; w24.09 2 ¶2-3)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Mhu 12:9, 10—Mistari hii inatufundisha nini kuhusu wanaume ambao Mungu aliwatumia kuandika Biblia? (it “Kuongozwa na Roho” ¶10)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Mhu 12:1-14 (th somo la 12)
4. Kufuatia Upendezi
(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 8 jambo kuu la 3)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Katika ziara iliyotangulia, mtu huyo alikuambia alifiwa na mpendwa wake hivi karibuni. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)
6. Hotuba
(Dak. 5) lmd nyongeza A jambo kuu la 13—Kichwa: Mungu Anataka Kutusaidia. (th somo la 20)
Wimbo 111
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) lfb somo la 30-31