9 Baada ya kumsikiliza mfalme, wakaondoka, na tazama! nyota waliyokuwa wameona walipokuwa Mashariki+ ikawaongoza mpaka iliposimama juu ya mahali alipokuwa yule mtoto.
9 Walipokuwa wamemsikiliza mfalme, waliondoka wakaenda; na, tazama! nyota waliyokuwa wameona wakati walipokuwa mashariki+ ikaenda mbele yao, mpaka ikaja kutua juu ya mahali alipokuwa yule mtoto mchanga.