-
Mathayo 2:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Walipokuwa wamemsikia mfalme, walishika njia yao wakaenda; na, tazama! nyota waliyokuwa wameona wakati walipokuwa mashariki ikaenda mbele yao, mpaka ikaja kutua juu ya alipokuwa yule mtoto mchanga.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Ziara ya wanajimu na njama ya Herode ya kuua (gnj 1 50:25–55:52)
-