-
Yohana 16:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 “Nimewaambia mambo haya kwa mifano. Saa inakuja ambapo sitazungumza nanyi tena kwa mifano, bali nitawaeleza waziwazi kumhusu Baba.
-