-
1 Wakorintho 11:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Je, hamna nyumba ambamo mnaweza kula na kunywa? Au je, mnalidharau kutaniko la Mungu na kuwaaibisha wale wasio na kitu? Niwaambie nini ninyi? Je, niwapongeze? Kuhusu hilo siwapongezi.
-