-
Mathayo 2:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 “Sauti ilisikiwa katika Rama, kutoa machozi na kulia kwingi; ni Raheli aliyekuwa akitoa machozi kwa ajili ya watoto wake, naye hakutaka kupokea faraja, kwa sababu hawako tena.”
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Herode awaua wavulana wadogo Bethlehemu na katika wilaya zake zote (gnj 1 57:35–59:32)
-