-
Yohana 19:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa hiyo wakaambiana: “Tusilirarue, bali na tuamue kwa kura juu yalo litakuwa la nani.” Hii ilikuwa ili andiko lipate kutimizwa: “Waligawana mavazi yangu ya nje miongoni mwao wenyewe, na juu ya vao langu walipiga kura.” Ndivyo hasa hao askari-jeshi walivyofanya mambo haya.
-